It evens skin tone, even on troublesome areas, like the neck, areas that are darkening on your skin due to excess exposure to the sun or so. For soft Flawless skin. It Contains SPF 100+, vitamin E, C
Naamini kuwa mpaka mtu anafikia kujichubua ni uwamuzi wa mwisho kabisa ambao unachukuliwa pale mtu anapochoka kuwa na ngozi ambayo haridhiki nayo.Swali linakuja, wote tunataka kitu kimoja,... - NGOZI BORA NA NZURI.
Nzuri kivipi?...- Nyororo, isiyokuwa na madoa au chunusi. Teke, isiyokuwa na rangi mbili(pepsi mirinda). Yenye afya, inayovutia na kukufanya ujisikie vizuri, mrembo. Kwa sababu urembo wa mwanamke uko kwenye ngozi, nywele, meno na kucha. Na mwanamke yeyote anayezingatia hivi anakuwa na sifa ya kuitwa mwanamke msafi. USAFI ni sehemu moja ya urembo!
Order My Lotion here
I love Teddy, her skin is just Flawless
And well, And if My Lotion is the key to such skin....whats $55 ?! Just dropped my Neutrogenas..
Random Thought, I hope My lotion puts an end to 'Mkorogo' What is up with women and Light skin nowadays?



No comments:
Post a Comment